technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Binafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama.
Kivutio kikubwa na sifa kubwa ya Tanzania ilikuwa ni ulinzi na usalama imara na amani tele ambao kwa Sasa hakuna sababu ya wasiojulikana.
Tutaendelea kuishi vip kwenye nchi ambaye hakuna mtu aliye salama?
Siwezi kuishi kwa hofu ndani ya Taifa langu Bora niondoke nitarudi siku hali ya kiusalama ikilejea Tanzania .
Pia sipo tayari kuona nchi ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi na wanachi wake kusota na kunuka shida kwa miaka 5 halafu mafisadi wakipora Mali za nchi
Pole Sana Watanzania watu wanauza roho zenu na kuishi kwa hisani yenu!!
Dogo unikumbushe kabla hujaondoka nikuchangie.Binafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama.

Kenge Ndio wanapanda mwendokasi!
Kuna video nimeona kuhusu huu usafiri , watu wanavyogombea ni kiashiria cha aina ya maisha ya watu .
Wanaoenda na waeendeeeBinafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama.