Unahama liniBinafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama.
Kivutio kikubwa na sifa kubwa ya Tanzania ilikuwa ni ulinzi na usalama imara na amani tele ambao kwa Sasa hakuna sababu ya wasiojulikana.
Tutaendelea kuishi vip kwenye nchi ambaye hakuna mtu aliye salama?
Siwezi kuishi kwa hofu ndani ya Taifa langu Bora niondoke nitarudi siku hali ya kiusalama ikilejea Tanzania .
Pia sipo tayari kuona nchi ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi na wanachi wake kusota na kunuka shida kwa miaka 5 halafu mafisadi wakipora Mali za nchi
Pole Sana Watanzania watu wanauza roho zenu na kuishi kwa hisani yenu!!
Rudi kwenu Burundi, wakimbizi wenzio walirudishwa na UNHCR nyie mkala chochoBinafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama.
Kivutio kikubwa na sifa kubwa ya Tanzania ilikuwa ni ulinzi na usalama imara na amani tele ambao kwa Sasa hakuna sababu ya wasiojulikana.
Tutaendelea kuishi vip kwenye nchi ambaye hakuna mtu aliye salama?
Siwezi kuishi kwa hofu ndani ya Taifa langu Bora niondoke nitarudi siku hali ya kiusalama ikilejea Tanzania .
Pia sipo tayari kuona nchi ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi na wanachi wake kusota na kunuka shida kwa miaka 5 halafu mafisadi wakipora Mali za nchi
Pole Sana Watanzania watu wanauza roho zenu na kuishi kwa hisani yenu!!
Labda Tz Mzalendo kwani anakuamsheni usingizini na kuwatoa ulevini,kwani hienda hata mkifanyacho,hamkijui.Tukuite G ngapi
Khaaa....!!!
Vita haikimbiwi Muller , hawa sio kukimbia bali kukabiliana nao hawa watekaji, haondoki mtu hapa mbwai mbwai , ndugu zetu wadzabe ni mda wa kuuzia ile mishale yao wanayowindia nguruwe , simba, ngedele n.k , nchi yetu hii ,hakimbii mtu period.Binafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama.
Kivutio kikubwa na sifa kubwa ya Tanzania ilikuwa ni ulinzi na usalama imara na amani tele ambao kwa Sasa hakuna sababu ya wasiojulikana.
Tutaendelea kuishi vip kwenye nchi ambaye hakuna mtu aliye salama?
Siwezi kuishi kwa hofu ndani ya Taifa langu Bora niondoke nitarudi siku hali ya kiusalama ikilejea Tanzania .
Pia sipo tayari kuona nchi ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi na wanachi wake kusota na kunuka shida kwa miaka 5 halafu mafisadi wakipora Mali za nchi
Pole Sana Watanzania watu wanauza roho zenu na kuishi kwa hisani yenu!!
Binafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama.
Kivutio kikubwa na sifa kubwa ya Tanzania ilikuwa ni ulinzi na usalama imara na amani tele ambao kwa Sasa hakuna sababu ya wasiojulikana.
Tutaendelea kuishi vip kwenye nchi ambaye hakuna mtu aliye salama?
Siwezi kuishi kwa hofu ndani ya Taifa langu Bora niondoke nitarudi siku hali ya kiusalama ikilejea Tanzania .
Pia sipo tayari kuona nchi ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi na wanachi wake kusota na kunuka shida kwa miaka 5 halafu mafisadi wakipora Mali za nchi
Pole Sana Watanzania watu wanauza roho zenu na kuishi kwa hisani yenu!!
Teheeeeeeeeee
KwendraaaBinafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama.
Kivutio kikubwa na sifa kubwa ya Tanzania ilikuwa ni ulinzi na usalama imara na amani tele ambao kwa Sasa hakuna sababu ya wasiojulikana.
Tutaendelea kuishi vip kwenye nchi ambaye hakuna mtu aliye salama?
Siwezi kuishi kwa hofu ndani ya Taifa langu Bora niondoke nitarudi siku hali ya kiusalama ikilejea Tanzania .
Pia sipo tayari kuona nchi ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi na wanachi wake kusota na kunuka shida kwa miaka 5 halafu mafisadi wakipora Mali za nchi
Pole Sana Watanzania watu wanauza roho zenu na kuishi kwa hisani yenu!!
KabisaUsisuburi achaguliwe tena, maana hata Sasa yeye ndiye Raisi. Fanya haraka uondoke maana hauko salama.