Binafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama

Unahama lini
 
Ni wewe tu unasumbuka, fanya UCHAWA na usihoji WHY and HOW za Taifa aisee utaishi maisha mazuri mno. Kwa mfano si unaona Kina Doto, Baba Levo, Mwijaku wanavyotesa yaani ni bata batani na wamejenga hadi magolofa wakati ni wajinga wajinga mtaji mdomo.

Sasa kama huwezi kuishi kwa kufumba mdomo basi aga familia andika wosia kwa wanao kabisa, kukimbia boma la babu yako ni woga uliopitiliza wakati wewe ni kijana bado una nguvu na akili za kupamba.

No Reforms...
 
Rudi kwenu Burundi, wakimbizi wenzio walirudishwa na UNHCR nyie mkala chocho
 
Reactions: Tui
Vita haikimbiwi Muller , hawa sio kukimbia bali kukabiliana nao hawa watekaji, haondoki mtu hapa mbwai mbwai , ndugu zetu wadzabe ni mda wa kuuzia ile mishale yao wanayowindia nguruwe , simba, ngedele n.k , nchi yetu hii ,hakimbii mtu period.

Ila kama umeamua mkuu ,Mungu akutangulie katika maisha mapya , hii vita wenye nchi watashinda tu ,asema Bwana
 
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/watch/?v=786537183390344
 
Kwendraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…