Binamu Bananga: CHADEMA tunakutana kujadili mahojiano ya Rais Samia na BBC ili kujibu nini? Nasisitiza tusikurupuke

Alichokisema kina ukweli
 
Ukweli upi hapo umetuambia? Chama kife kivipi kwa mawazo yako chama kitakufa? Swali kwako ebu ni tuelezi watu ambao tayari wamehukumiwa kwa hiyo kesi ya ugaidi maana Samia kasema tayari wengine wamehukumiwa wataje waliohukumiwa kwanza, tuanzie hapo
Tangu Mbowe ametekwa na vibaka wa Simon Sirro, sijawahi kusikia tena kuhusu Makongamano ya Katiba Mpya
 
Bananga Ubunge wa Mkeo unakutesa!😁😁😁
 
Umeandika dude refuuu lisilo na akili

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA toka waanze kampeni za Diamond na Burnaboy niliwavua nyota. Tofauti yao na wasanii wetu ni uwanja wa kufanyia kiki ila wote wanategemea kiki. Nipo Tengeru Arusha, kata ya Akheri njooni mniuwe.
Chadema bila Mbowe wanabaki weupe kama theluji. Sijui kwa nni Mbowe hajaandaa mtu mwenye spirit ya kupambana kama yeye. Waliobaki wote wamebaki wapiga kelele mitandaoni. Na wakiambiwa ukweli wanaishia kununa nuna
 
Ushauri upi? Kwa kosa lipi? Ushauri kwa makosa bandia ya kubambikiwa ni ushauri wa kijinga jinga huo, ugaidi ni Polisiccm kwenda kuwapekua wapinzani saa nane usiku pasipo wapinzani kuwa na ndugu zao mashahidi wa kushuhudia upekuzi haramu ukifanyika
Subiri mahakama iamue, simnasema mahakama ziwe huru
 
Suala LA viti maalumu wa chadema analijua mbowe. Nyie hamuelewi ata
 
BANANGA NI MSALITI ANAYETAFUTA NAFASI YA UTEUZI KATIKA UTAWALA WA SAMIA.

CHADEMA PIGA CHINI Mwanasiasa "Malaya malaya " πŸ˜ƒπŸ™„πŸ™„πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€¨πŸ€¨
 
Posho na Mishahara ya covid-19 naona matunda yake ndio haya.
 
Nje ya siasa Ali Bananga ana shughuli gani inayomuingizia kipato? Anayoyasema siku hizi unaweza husiamini kama alikuwa kwenye timu ya kampeni ya Lissu! Uhalisia Bananga ana kinyongo kwasababu ya ubunge feki wa mkewe.
 
Nje ya siasa Ali Bananga ana shughuli gani inayomuingizia kipato? Anayoyasema siku hizi unaweza husiamini kama alikuwa kwenye timu ya kampeni ya Lissu! Uhalisia Bananga ana kinyongo kwasababu ya ubunge feki wa mkewe.
Kukaa na wenye uwezo awasifie wamnunulie bia
 
mkewake akiwa Dodoma na yeye hua anaenda ?au chakula chajamaa aliyempigia chapuo
 
- Chadema wanashinikiza mama aingilie mahakama kivipi wakati kwa ile kauli yake ya jana ni kama ameshaingilia huo uhuru wa mahakama?

- Bananga anataka kusema yale aliyozungumza Samia jana yalikuwa na ukweli? kwanini hataki Chadema imjibu? uelewa wake mdogo anataka kuwaambukiza na wengine sio, Samia alisema Mbowe alijificha Nairobi, Bananga anakubaliana na hiyo kauli?

- Uhuru wa habari aliosema Samia na Bananga anaupigia mstari ni upi? ule wa kufungulia blogs na vingine kama magazeti (Mwanahalisi, Tanzania Daima) kuendelea kubaki kifungoni?

- Anazungumzia "think tanks", kwa hili andiko lake nae anajiona ni "think tank" wa Chadema licha ya kasoro zote zilizomo, hao "think tanks" huwa hawajisemi ni maneno yao ndio yanawashawishi wengine kuwafahamu pale wanapoongea, huyu jamaa anadhani "think tanks" ni malaika kutoka mbinguni, hajui kuna wakati nao hukosea.

Huyu Bananga sasa namuona anataka kuitumia Chadema kama ngazi ya kupata teuzi CCM, anaropoka hivi kujitengenezea mazingira siku akichepuka wampokee wampe na cheo, hope rafiki zake kina Msando na wengine watamuwezesha kupata atakacho huko CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…