boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
mkuu ambatanisha video ya wimbo wa FA na AY ili wakuelewe zaidi...sure
Akimuadd naomba umuongeze na PolepoleMkuu ongeza na Makonda kwenye list yako
na mm piaMkuu ongeza na Makonda kwenye list yako
sawa..utakuwa umekuzi umriNimetoka kapa kwenye huu uzi.
Sidhani kama itakuja tokea tuuthamini mchango wa mtu akiwa bado yuko hai mtanzania.
Tumezoea kumsifu mtu akiwa marehemu,
Namkumbuka mzee ngurumo tukiwa morogoro aliwahi ongea haya.
Kuna watu wengi sanaa Tanzania ambao wanapaswa mchango wao uthaminiw.
Muone Fid Q
Mwana FA
AY
Alikiba
Diamond
Tundu Lisu
ZZK
Magufuli
Ngoja wafe sasa
Mwambie mhudumu akuongeze chochote unywacho.sure
Huyo dogo One Incredible huwa natamani kabla sijaachana na hz shughuli zangu za sasa nije niwe Manager wake hata for 2 years.Fid q Tatizo analewa sifa Lakini ni mkali hatari pamoja na One Incredible
Fid nilikua namuona yupo real sana lakini... Nilikuja kumuona anazuga tu... Ni pale alipo sema hajui kama alikiba ananyimbo inaitwa cinderella..
Usiniite half man, niite man and ahalf!Fid Q ni phenomenon mzee, acha kabisa yule sio mtu ni half man half machine