Binamu (fa) ulifikiria nini kumshirikisha Bongo Bahati Mbaya - Big up sana

Binamu (fa) ulifikiria nini kumshirikisha Bongo Bahati Mbaya - Big up sana

Fid q Tatizo analewa sifa Lakini ni mkali hatari pamoja na One Incredible
 
Fid Q amelidhika kwa sifa kama hizi za mleta Uzi mwisho wa siku tunabaki kulaumu media lakini ni mkali hatari sana lakini akiamua apambane kwamba yupo serious Tungekua tunasema mengine mda huu lakini ndo hivo umuoni Joh makini anapambana kiukweli anashauku ya kufika mbali
 
Ukisikia bongo bahati mbaya ni ndo Fid Q, natamani viunga vya Mwanza mwanza ndo ingekuwa Brooklyn saiz Fid Q angekuwa km akina Nas,Jay Z,Big poppa etc
 
Upo hapo ni zinga la ngoma na ni hit song..... kuhusu Fid q toka mwanzo nilisema kuwa ni msanii wangu bora wa hip hop wa miaka yote,,,,kila neno lake analo weka kwenye wimbo linafikirisha na lina acha maana.....
Kwenye ngoma upo hapo amemaliza kabisa jamaa.....
 
Sidhani kama itakuja tokea tuuthamini mchango wa mtu akiwa bado yuko hai mtanzania.


Tumezoea kumsifu mtu akiwa marehemu,


Namkumbuka mzee ngurumo tukiwa morogoro aliwahi ongea haya.

Kuna watu wengi sanaa Tanzania ambao wanapaswa mchango wao uthaminiw.
Muone Fid Q
Mwana FA
AY
Alikiba
Diamond
Tundu Lisu
ZZK
Magufuli


Ngoja wafe sasa

Umemsahau Mange Kimambi
 
Fid nilikua namuona yupo real sana lakini... Nilikuja kumuona anazuga tu... Ni pale alipo sema hajui kama alikiba ananyimbo inaitwa cinderella..
 
Fid nilikua namuona yupo real sana lakini... Nilikuja kumuona anazuga tu... Ni pale alipo sema hajui kama alikiba ananyimbo inaitwa cinderella..

umepaniki wewe, acha utimu wewe
 
Back
Top Bottom