Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
It is no joke, nikijua mke wangu yuko hivi, ni bora tutengane tu. Tuko msibani kwa Uncle, binamu kaja na mume wake, lakini anamkwepa anataka tufanye vitu vya ajabu. Huku ni kutaka kunivunjia heshima katika familia, imebidi niondoke haraka haraka kutunza hesima yangu.
Nilichoamua, ni marufuku ndugu wa kiume wa mke wangu ambaye hajazaliwa tumbo moja na ke wangu kuja nyumbani kwangu au kuleta mazoea ya ajabu.
Kitu kingine nilicho observe, watu ni waongo sana, yani huyu binamu ukimuone anavyoact like kifo kimemgusa sana lakini kumbe ni uongo, bora men ambao hawalii tu.