Acha drama, kanunue kuni za kupikia chai kesho.
Kama we ni Mwanaume kweli msemee huyo binamu kwa mumewe.
Ninakuhakikishia hawezi kufanya hivyo😆😆😆Halafu mtumie na link ya huu uzi
Raha ya nanga baharini weweIt is no joke, nikijua mke wangu yuko hivi, ni bora tutengane tu, tuko msibani kwa Uncle, binamu kaja na mume wake, lakini anamkwepa anataka tufanye vitu vya ajabu, huku ni kutaka kunivunjia heshima katika familia, imebidi niondoke haraka haraka kutunza hesima yangu. nilichoamua, ni marufuku ndugu wa kiume wa mke wangu ambae hajazaliwa tumbo moja na ke wangu kuja nyumbani kwangu au kuleta mazoea ya ajabu.
kitu kingine nilicho observe, watu ni waongo sana, yani huyu binamu ukimuone anavyoat like kifo kimemgusa sana lakini kumbe ni uongo, bora men ambao hawalii tu
aliefariki ni baba yake mkubwa , mimi ni mjomba, we both share the same grandsEmbu eleze vizur yaani amefiwa na Bab ake ambae Ni mjomba ako wee badala aomboleze yey anataka umchakate au
Ubinamu wenu uko vipi mnk mm binamu Ni mtto wa shngazi yangu na binamu pia no mtot wa mjomba wangu kak ake na mama
Eleza wwe ubinamu uko vip
Kuna washikaji zangu wawili wanatokea bagamoyo wao wanasema wanaona hata na binamu zao na kukulana n ktu chakawaida mtu kumla mtt wa Shangazi au mjomba ..Kujitakia tuu milaana ndio maana mvua hainyeshi
Binamu hana hakili utajivunjia tuu heshima yako mkwepe
Nijambo la ajabu kweliKuna washikaji zangu wawili wanatokea bagamoyo wao wanasema wanaona hata na binamu zao na kukulana n ktu chakawaida mtu kumla mtt wa Shangazi au mjomba ..
Nilishangaaa......
Mungu wangu [emoji23]Acha drama, kanunue kuni za kupikia chai kesho.
Kama we ni Mwanaume kweli msemee huyo binamu kwa mumewe.
Ndio mara ya kwanza au mnapashana kiporo?It is no joke, nikijua mke wangu yuko hivi, ni bora tutengane tu, tuko msibani kwa Uncle, binamu kaja na mume wake, lakini anamkwepa anataka tufanye vitu vya ajabu, huku ni kutaka kunivunjia heshima katika familia, imebidi niondoke haraka haraka kutunza hesima yangu. nilichoamua, ni marufuku ndugu wa kiume wa mke wangu ambae hajazaliwa tumbo moja na ke wangu kuja nyumbani kwangu au kuleta mazoea ya ajabu.
kitu kingine nilicho observe, watu ni waongo sana, yani huyu binamu ukimuone anavyoat like kifo kimemgusa sana lakini kumbe ni uongo, bora men ambao hawalii tu
Ninakuhakikishia hawezi kufanya hivyo😆😆😆
Mzima lakini anko dereva