Najua wewe ndiye uliefeli, ila kufeli siyo dhambi kwa hiyo usione aibu kujitangazaoya niaje wakuu,nina binamu yangu ali disco ud civil mwaka 2011.anataka ku apply tena ud mwaka huu na madogo je atakubaliwa arudi civil?alikua ana div 2.12
Unamsaidia kutukanawajingawatu wewe kweli ni mjinga,im trying to help out my cousin u dumb head,im done with studying
Namshauri asome sociology sababu civil tayari ilishamtupa sasa je akila disco nyingine si itakuwa balaa?
Mtu aki disco Civil ambapo ni kukalili tu hawezi toboa sociology wanahitaji thinking, tena UDSM asikanyage kabisa.
unapata tu,kwann wakunyimeMe sikwenda chuo na niliwapa taarifa bodi ya kusitisha mkopo na chuo husika sikusajiliwa je nikiomba mwaka huu kozi ya priority mkopo nitapata
kama nidham yake ni kama yako mwambie ata dosc tena