Binamu yangu ka disco

Binamu yangu ka disco

brizy

Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
50
Reaction score
2
Oya niaje wakuu, nina binamu yangu ali disco ud civil mwaka 2011. Anataka ku apply tena UD mwaka huu na madogo. Je! Atakubaliwa arudi civil? Alikua ana div 2.12
 
Yaaa jamaa kapigaa freshh atapataa tyuu 2:12 tena sio big result na toka alivyodisco mbaka mwakahuu atapata sema kwenye loan misjuii labda wajewadauu
 
kwani hawezi soma kitu kingine lazma asome civil.....anyway labda atakaza msuli lkn kuna vitu vingi vya kusoma...maana civil ishamtosa mwanzo ajaribu ki2 kingine
 
oya niaje wakuu,nina binamu yangu ali disco ud civil mwaka 2011.anataka ku apply tena ud mwaka huu na madogo je atakubaliwa arudi civil?alikua ana div 2.12
Najua wewe ndiye uliefeli, ila kufeli siyo dhambi kwa hiyo usione aibu kujitangaza
 
Upande wa loans inabid alipe asilimia 25 ya mkopo ambao alitumia kabla hajadisco kikubwa inabid aende offce zA bodi ya mikopo wakamfanyie maesabu alipe faster kabla app hazijaanza
 
wajingawatu wewe kweli ni mjinga,im trying to help out my cousin u dumb head,im done with studying
 
Mwambie abadilishe kozi,hata me marafiki zangu wengi sana waliokua civil na electrical walidisco.ila kama amejipanga mwambie aombe tu,kwenye mkopo ndo sidhani ka atapata.
 
tang'ana jamaa alikua kichwa sema yeye alikua pombe sana na madem,nw amechange pombe ameacha hata madem naona kapunguza siku hizi,ngoja nichonge nae kama vipi a change kozi ila jamaa anapenda civil kinoma
 
Last edited by a moderator:
nadhan syllabus ya mwaka aliodisco hyo civil na sasa itakua haijabadilika xana...akirud civil atadisco tena...mwambie awe mwalim wa hesabu mkopo atapata tu...mana naona shida n mkopo n sio civil
 
Namshauri asome sociology sababu civil tayari ilishamtupa sasa je akila disco nyingine si itakuwa balaa?
 
Namshauri asome sociology sababu civil tayari ilishamtupa sasa je akila disco nyingine si itakuwa balaa?

Mtu aki disco Civil ambapo ni kukalili tu hawezi toboa sociology wanahitaji thinking, tena UDSM asikanyage kabisa.
 
Mtu aki disco Civil ambapo ni kukalili tu hawezi toboa sociology wanahitaji thinking, tena UDSM asikanyage kabisa.

Me sikwenda chuo na niliwapa taarifa bodi ya kusitisha mkopo na chuo husika sikusajiliwa je nikiomba mwaka huu kozi ya priority mkopo nitapata
 
Back
Top Bottom