Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
Wapwaz na binamuz wote.Ni matumaini yangu kuwa wote mko salama na wengine wako mapumzikoni/ baada ya safari ndefu ya mwaka mzima.
Mwaka ndio unaelekea ukingoni naamnini wengi tumejifunza mengi kwa mwaka unaoisha.Mwaka huu nimebahatika kufahamaniana na wapwaz na binamuz wengi kupitia jukwaa hili,wengine tumeonana ana kwa ana,wengine tunawasiliana kwa simu hivyo tunafahamiana kwa sauti tu.Wengine pia tunafahamiana kwa njia ya posts na mawasiliano mengine.
Zaidi ya kufahamiana wengine tumekuwa very good friends and am happy for that. Ulikuwa mwaka mzuri kwangu!!!
Basi nipende kuchukua fursa hii kuwatakia heri ya xmass na mwaka mpya 2011 uliojaa mafanikio na matumaini bora.
Merry Xmass and Happy New year!!!
Always With love
Regia