Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heri ya xmas na mwaka mpya 2011 mpendwa....uwe na wakati mzuri katika kipindi hiki cha sikukuu
heri ya x mass muheshimiwa......dereva umepata? nina class c
Wapwaz na binamuz wote.Ni matumaini yangu kuwa wote mko salama na wengine wako mapumzikoni/ baada ya safari ndefu ya mwaka mzima.Mwaka ndio unaelekea ukingoni naamnini wengi tumejifunza mengi kwa mwaka unaoisha.Mwaka huu nimebahatika kufahamaniana na wapwaz na binamuz wengi kupitia jukwaa hili,wengine tumeonana ana kwa ana,wengine tunawasiliana kwa simu hivyo tunafahamiana kwa sauti tu.Wengine pia tunafahamiana kwa njia ya posts na mawasiliano mengine.Zaidi ya kufahamiana wengine tumekuwa very good friends and am happy for that. Ulikuwa mwaka mzuri kwangu!!!
Basi nipende kuchukua fursa hii kuwatakia heri ya xmass na mwaka mpya 2011 uliojaa mafanikio na matumaini bora.
Merry Xmass and Happy New year!!!
Always With love
Regia
Lema anakomaa mwenyewe kwenye usukani na Landrover Defender lake...Sijui kama atahitaji dereva huyu...he is too young to be driven you know... save the protocal specs!Mmmhh....!!!!!!!!! :hug::kiss: tunaogopa utakwenda huku, ana dereva Class C mwanamke tayari, labda utamwendesha Lema anatafuta dereva