Binamus na Wapwaz-Nawatakia Heri ya Xmass na Mwaka Mpya 2011

Status
Not open for further replies.
heri ya xmas na mwaka mpya 2011 mpendwa....uwe na wakati mzuri katika kipindi hiki cha sikukuu
 
heri ya xmas na mwaka mpya 2011 mpendwa....uwe na wakati mzuri katika kipindi hiki cha sikukuu

We Preta we sisi wengine tukianza kudadavua hii signature kijukwaa na bondeni tunakwazika kidogo....

"Make love, not war....on this christmas"
 
heri ya x mass muheshimiwa......dereva umepata? nina class c

Mmmhh....!!!!!!!!! :hug::kiss: tunaogopa utakwenda huku, ana dereva Class C mwanamke tayari, labda utamwendesha Lema anatafuta dereva
 



Thanx Regia, Marry Christmas and the best wishes for the new year 2011
 
Mmmhh....!!!!!!!!! :hug::kiss: tunaogopa utakwenda huku, ana dereva Class C mwanamke tayari, labda utamwendesha Lema anatafuta dereva
Lema anakomaa mwenyewe kwenye usukani na Landrover Defender lake...Sijui kama atahitaji dereva huyu...he is too young to be driven you know... save the protocal specs!

Regia, binafsi nakutakia afya na uzima tele kwenye sherehe hizi za Krismas..Uwe mmojawapo katika wabarikiwa!
Lakini zaidi napata amani sana kila nionapo bandiko lako au kubahatikakuongea na wewe...bblessed dadaangu.
 



Thank you very much Dada Regia. Heri ya Christmas na Mwaka Mpya na kwako pia

Tunakuombea afya njema kuanza kutekeleza majukumu yako kwa mwaka wa 2011
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…