franknombo
Senior Member
- Mar 30, 2019
- 170
- 177
Kama Stars ataenda kama best looser basi anaweza kuwa bingwa.
Zesch sikuhizi mkali kweli,, [emoji1]Andika vizuri, kiazi wewe
Zesch sikuhizi mkali kweli,, [emoji1]
Kulikua hakuna sababu ya kumfukuza kochaStars kumbe ilikuwa kundi gumu.Ona sasa Senegal na Algeria wanaingia Fainali!!
Tatizo siyo shule; tatizo ni utoto na kutojitambua."Ciion tm" ndio nini!? Rudi shule kwanza!
Tusubiri tuone!Dangote katoa ahadi ya pesa nyiingi saana wakuu...
Akina bunedja wakae tayar lolote laweza kutokea..