franknombo
Senior Member
- Mar 30, 2019
- 170
- 177
Kwa kikoc walichonachao Algeria na kwa aina ya mpira wanaocheza naona wakiwa mabingwa wapya was Afco 2019 ciion tm ya kuwazuia hawa jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Stars ataenda kama best looser basi anaweza kuwa bingwa.
Zesch sikuhizi mkali kweli,, [emoji1]Andika vizuri, kiazi wewe
Zesch sikuhizi mkali kweli,, [emoji1]
Kulikua hakuna sababu ya kumfukuza kochaStars kumbe ilikuwa kundi gumu.Ona sasa Senegal na Algeria wanaingia Fainali!!
Tatizo siyo shule; tatizo ni utoto na kutojitambua."Ciion tm" ndio nini!? Rudi shule kwanza!
Tusubiri tuone!Dangote katoa ahadi ya pesa nyiingi saana wakuu...
Akina bunedja wakae tayar lolote laweza kutokea..