Bingwa mtetezi Simba SC out kombe la shirikisho!!

DAKA MTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,288
Reaction score
801
Simba imevuliwa ubingwa wa Kombe la Shirikisho baada ya kufungwa kwa penalti 4-3 dhidi ya Green Worriors inashiriki Ligi Daraja la Pili.

Mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, iliisha kwa sare ya mabao 1-1 kwa dakika 90

Baada ya hapo iliamualiwa kwa mikwaju ya penalti na wachezaji watatu wa Simba, Muzamiru Yassin, Hussein Zimbwe ’Tshabalala’ na Jonas Mkude walikosa penalti zao.

Kipa Aishi Manula wa Simba na Shabani Dihile walijipangua mikwaju ya penalti
 
Mchawi wa simba ni omog na manula
 
Mlisha ambiwe siku nyingu tu kuwa Simba na Yanga ni majina tu, si lolote si chochote. We umeona wapi timu inaongozwa na Mze mmoja au wanaharakati fulani ili ipate ushindi? Time has come hizi timu zife tu.
 
Kwahiyo ule uwekezaji wenu wa mabilioni ndio huu wa kufungwa na timu ya daraja la pili?
Katika watu watatu wenye nuksi na mpira wa Tanzania basi MOOOO ni miongoni mwao, alishajifanya kuisadia Singida United akaiua kifo cha mvuvi na sasa kaja kuitia gundu Tope Fc, pumbaaaavu Tope Fc midomo imewaponza
 
ira rimoo rina heraaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mikia chali wamechunwa namashujaa wa kijani je ingekuwa wafalme wa kijan
 
Man United katolewa na Bristol City tena ndani ya dak 90,kikosi cha man u ni mara kumi ya kikosi cha bristol city,mpira unadunda inategemea utadundia upande upi kati,kulia,au kushoto
 
Man United katolewa na Bristol City tena ndani ya dak 90,kikosi cha man u ni mara kumi ya kikosi cha bristol city,mpira unadunda inategemea utadundia upande upi kati,kulia,au kushoto
Kwa hiyo mechi na Green Worriors mpira ulidundia wapi? Nieleze tafadhali ili roho yangu ipate amani
 
Man United katolewa na Bristol City tena ndani ya dak 90,kikosi cha man u ni mara kumi ya kikosi cha bristol city,mpira unadunda inategemea utadundia upande upi kati,kulia,au kushoto
Sio kwa soka la bongo aisee!!tukichunguza bristol city utakuta wachezaji wengi tu wenye uzoefu wa mashindano ya kimataifa hata ya mashindan ya vijana kwa bongo timu nyingi za ligi daraja la chini kuanzia la pili mpaka nne nitimu zilizo disorganized!!no excue kwahili watani

9999
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…