Bingwa mtetezi Simba SC out kombe la shirikisho!!

Bingwa mtetezi Simba SC out kombe la shirikisho!!

Haahaa kuna Raia awaptkan kwa simu ad sasa tuwape ushirkiano waandishi wetu bhana[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ahsante kwa taarifa.Ujue tu kwamba tumeumia na tumeteswa na matokeo.
 
Sio kwa soka la bongo aisee!!tukichunguza bristol city utakuta wachezaji wengi tu wenye uzoefu wa mashindano ya kimataifa hata ya mashindan ya vijana kwa bongo timu nyingi za ligi daraja la chini kuanzia la pili mpaka nne nitimu zilizo disorganized!!no excue kwahili watani

9999
nenda kachunguze halafu uje hapa unitajie hata mmoja
 
Timu inavuliwa ubingwa mechi ya kwanza tu. Bongo mpira umekua sana.
Ili kulinda hadhi yao, Simba waende wakate rufaa FIFA. Karia na Wambura hakikisheni hilo linafanyika.
Nimecheka mpaka nimetundikiwa drip.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo ule uwekezaji wenu wa mabilioni ndio huu wa kufungwa na timu ya daraja la pili?
Katika watu watatu wenye nuksi na mpira wa Tanzania basi MOOOO ni miongoni mwao, alishajifanya kuisadia Singida United akaiua kifo cha mvuvi na sasa kaja kuitia gundu Tope Fc, pumbaaaavu Tope Fc midomo imewaponza
African Lyon nayo hoi.
 
Man United katolewa na Bristol City tena ndani ya dak 90,kikosi cha man u ni mara kumi ya kikosi cha bristol city,mpira unadunda inategemea utadundia upande upi kati,kulia,au kushoto
Ina maana hawajui kutuliza.
 
Man United katolewa na Bristol City tena ndani ya dak 90,kikosi cha man u ni mara kumi ya kikosi cha bristol city,mpira unadunda inategemea utadundia upande upi kati,kulia,au kushoto
Mfananisho wako ungekuwa sahihi kama Simba angekuwa bado ni bingwa Kombe la Shirikisho la Afrika kama Man U alivyo bado bingwa wa Kombe la UEFA.
 
Mfananisho wako ungekuwa sahihi kama Simba angekuwa bado ni bingwa Kombe la Shirikisho la Afrika kama Man U alivyo bado bingwa wa Kombe la UEFA.
man u bingwa wa uefa ama ueropa kijana??sisi tunazungumzia kutolewa FA hata Man u katolea kwenye kombe hilohilo
 
Man United katolewa na Bristol City tena ndani ya dak 90,kikosi cha man u ni mara kumi ya kikosi cha bristol city,mpira unadunda inategemea utadundia upande upi kati,kulia,au kushoto
Ndio umeandika nini hapa? mpira unadunda kushoto?
 
Back
Top Bottom