Bingwa mtetezi Simba SC out kombe la shirikisho!!

Haahaa kuna Raia awaptkan kwa simu ad sasa tuwape ushirkiano waandishi wetu bhana[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ahsante kwa taarifa.Ujue tu kwamba tumeumia na tumeteswa na matokeo.
 
nenda kachunguze halafu uje hapa unitajie hata mmoja
 
Timu inavuliwa ubingwa mechi ya kwanza tu. Bongo mpira umekua sana.
Ili kulinda hadhi yao, Simba waende wakate rufaa FIFA. Karia na Wambura hakikisheni hilo linafanyika.
Nimecheka mpaka nimetundikiwa drip.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
African Lyon nayo hoi.
 
Man United katolewa na Bristol City tena ndani ya dak 90,kikosi cha man u ni mara kumi ya kikosi cha bristol city,mpira unadunda inategemea utadundia upande upi kati,kulia,au kushoto
Ina maana hawajui kutuliza.
 
Man United katolewa na Bristol City tena ndani ya dak 90,kikosi cha man u ni mara kumi ya kikosi cha bristol city,mpira unadunda inategemea utadundia upande upi kati,kulia,au kushoto
Mfananisho wako ungekuwa sahihi kama Simba angekuwa bado ni bingwa Kombe la Shirikisho la Afrika kama Man U alivyo bado bingwa wa Kombe la UEFA.
 
Mfananisho wako ungekuwa sahihi kama Simba angekuwa bado ni bingwa Kombe la Shirikisho la Afrika kama Man U alivyo bado bingwa wa Kombe la UEFA.
man u bingwa wa uefa ama ueropa kijana??sisi tunazungumzia kutolewa FA hata Man u katolea kwenye kombe hilohilo
 
Man United katolewa na Bristol City tena ndani ya dak 90,kikosi cha man u ni mara kumi ya kikosi cha bristol city,mpira unadunda inategemea utadundia upande upi kati,kulia,au kushoto
Ndio umeandika nini hapa? mpira unadunda kushoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…