Mkuu IFRS historia hiyo hiyo ina mpa fever ATM. Kuanzia msimu wa 2013/14, aliyemtoa Bayern nusu fainali alibeba ubingwa. Rejea R.Madrid msimu wa 2013/14, nusu fainali alimtoa Bayern na kisha akachukua ubingwa. Msimu wa 2014/15, Barcelona alimtoa Bayern nusu fainali na akachukua ubingwa. Hivyo kwa kifuata trend hiyo, inamaanisha kwamba, msimu wa 2015/16, ni wa ATM kwa kuwa naye kamtoa Bayern.