Bingwa ni Real madrid au Man city

Mkuu IFRS historia hiyo hiyo ina mpa fever ATM. Kuanzia msimu wa 2013/14, aliyemtoa Bayern nusu fainali alibeba ubingwa. Rejea R.Madrid msimu wa 2013/14, nusu fainali alimtoa Bayern na kisha akachukua ubingwa. Msimu wa 2014/15, Barcelona alimtoa Bayern nusu fainali na akachukua ubingwa. Hivyo kwa kifuata trend hiyo, inamaanisha kwamba, msimu wa 2015/16, ni wa ATM kwa kuwa naye kamtoa Bayern.
 
Haya mkuu tuone...maana aguero akipata chance habahatishi
Aguero ni mchezaji mzuri hasa De bruyne ndio mwenye madhara sana na sio mbinafsi kama huyo Aguero ila madrid ina wakina Aguero wengi sana nadhani utakua umeniekewa
 
bayern wametolewa mara tatu mfululizo kwa miaka mitatu na timu za spain..real madrid..barc na sasa Atletico
 
mwenye nacho anaongezewa asie nacho hata kile kidogo ananyang'anywa..Madrid fainali
 
kwa ufupi wewe ni mtabiri HEWA, JITUMBUE KABLA HATUJAKUTUMBUA!
utakuwa hujui kusoma vizuri. rudia kusoma nimeandika nina 'wasiwasi' alafu ilikuwa tarehe 16 apr. wewe umekuja kupinga leo tar 5 may. kwanini usipinge siku ile. sababu uliamini wasiwasi wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…