..Bingwa wa English Premium League mwaka huu ni.....

Ilitokea mwaka jana rafiki na mwaka huu itatokea tena
Wewe kweli hufwatilii premier..Angalia vizuri ligi ilivyoisha mwaka jana kati ya Arsenal na Tottenham nani alikua juu ya mwenzio. Huo utabiri wako ni feki. Arsenal hata mfanyaje hawezi kutoka top four
 
Nilichogundua hapa tatizo limekuja arsenal kupangwa ya 6 c-o?bc arsenal ya 4 km kawaida yake na Tottenham ya 6....
 
Wewe kweli hufwatilii premier..Angalia vizuri ligi ilivyoisha mwaka jana kati ya Arsenal na Tottenham nani alikua juu ya mwenzio. Huo utabiri wako ni feki. Arsenal hata mfanyaje hawezi kutoka top four
Ni kweli wadau kwa msimamo wa mwaka jana Arsenal alimaliza wa pili nadhani ilo sikuliweka sawa ila haimaanishi mwaka huu atamaliza top 4.Ni vizuri wakati mwingine kukubali hali halisi...
 
HAPO KWENYE TOTTEHAM NDO UMENIFANYA NIFELISHE UPEMBUZI WAKO HAIJAWAHI TOKEA KWA MIAKA MENGI SANA TOTTENHAM KUWA JUU YA ARSENAL .WEWE UTAKUA CHELSEA NDO WENYE DREAM KAMA ZAKO.
Msimu uliopita Tottenham Spurs ilikamata nafasi ya ngapi...?
 
Wewe kweli hufwatilii premier..Angalia vizuri ligi ilivyoisha mwaka jana kati ya Arsenal na Tottenham nani alikua juu ya mwenzio. Huo utabiri wako ni feki. Arsenal hata mfanyaje hawezi kutoka top four
Safari hii anaweza hakatoka top 4
 
Standings as at 21.05.2017
1. Chelsea
2. Tottenham
3. Liverpool
4. Man United
5 Man. City
6 Arsenal

Nimejaribu kufanya upembuzi 'match by match' na kutokana na uzoefu wangu wa kufuatilia ligi ya Uingereza tokea mwaka 1992 Enzi za kina Hughes e.t.c ninasikitika kuwataarifu wapenzi wa Arsenal na Man City kuwa msimamo wa ligi mwaka huu utamalizika hivi....Usitukane wala kulaumu na wewe fanya upembuzi wako uje na majibu. Mimi nimeangalia mechi 18@zilizobakia kwa kila timu kwa kulinganisha nani anacheza na nani bila kuangalia saana historia ya nyuma...ASANTE .EPL oyeeee...
Kama kuna ka ukweli fulani ivi but ngoja tusubiri mpa April tutakuwa tumejua ukweli
 
HAPO KWENYE TOTTEHAM NDO UMENIFANYA NIFELISHE UPEMBUZI WAKO HAIJAWAHI TOKEA KWA MIAKA MENGI SANA TOTTENHAM KUWA JUU YA ARSENAL .WEWE UTAKUA CHELSEA NDO WENYE DREAM KAMA ZAKO.
Tatizo lenu watu wa arsenal huwa hamuamini this time mambo yanaweza kuchange.
 
Standings as at 21.05.2017
1. Chelsea
2. Tottenham
3. Liverpool
4. Man United
5 Man. City
6 Arsenal

Nimejaribu kufanya upembuzi 'match by match' na kutokana na uzoefu wangu wa kufuatilia ligi ya Uingereza tokea mwaka 1992 Enzi za kina Hughes e.t.c ninasikitika kuwataarifu wapenzi wa Arsenal na Man City kuwa msimamo wa ligi mwaka huu utamalizika hivi....Usitukane wala kulaumu na wewe fanya upembuzi wako uje na majibu. Mimi nimeangalia mechi 18@zilizobakia kwa kila timu kwa kulinganisha nani anacheza na nani bila kuangalia saana historia ya nyuma...ASANTE .EPL oyeeee...
mwaka huu tunamaliza hivi!-
1. Liverpool
2. Chelsea
3. Arsenal
4. Man U/Man City
 
Hata historia hujui then unasema unafuatilia toka 92.
Uckurupuke mshabiki wa Arsenal,nilisharekebisha hiyo statement kuwa Arsenal ndo mshindi wa pili nyuma ya Leicester mwaka jana na kwa bahati mbaya woote wawili mwaka huu hawatakuwemo kwenye top 4.what a pity!sio mimi ila numbers ndo zinavyosema
 
Back
Top Bottom