Bingwa wa FA na uwakilishi kombe la CAF

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Wana bodi

Sasa hivi inaeleweka kuwa bingwa wa VPL ndiyo mwakilishi wa nchi kwenye club bingwa ya Afrika wakati bingwa wa kombe la FA ndiyo mwakailishi kwenye kombe la CAF.

Je ikitokea bingwa wa VPL ndiyo huyo huyo bingwa wa kombe la FA mwakilishi wetu kombe la CAF atapatikana vipi? Wenye kujua kanuni tafadhali !
 
Mshindi wa pili FA atachukua hyo nafasi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…