Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wataweka wazi hivi karibuni kuna wachawi wazee wa moto wanaweza kutuma chuma ulete wakaziibaWakuu Habari ya Jumapili.
.
Naomba Kujua kwamba ni Kiasi Gani Bingwa Wa Msimu Huu atakipata Kutoka Kwa Mdhamini Mkuu Wa Ligi.
.
Nimeamgalia Hivi orodha ya fedha atakayoipta Yanga kama Atakuwa Bingwa Wa Msimu Huu sioni fedha atakayoipta Kutoka NBC.
View attachment 2234031
Nasikia Bingwa mwaka anakula m.500 Kutoka NbcNatamani kuona kiasi kikubwa cha huu mkwanja kikipelekwa kwenye ujenzi wa uwanja wa timu, badala ya kutumia pesa zote kwenye matumizi yasiyo na manufaa ya muda mrefu kwa timu. Mfano kufanya usajili wa 10%, kupeleka timu nje ya nchi wakati wa Pre season, nk.
Uko sawa kabisa naungana nawe 100%. Japo sidhani kama tamanio hili na viongozi wetu wanalo.Natamani kuona kiasi kikubwa cha huu mkwanja kikipelekwa kwenye ujenzi wa uwanja wa timu, badala ya kutumia pesa zote kwenye matumizi yasiyo na manufaa ya muda mrefu kwa timu. Mfano kufanya usajili wa 10%, kupeleka timu nje ya nchi wakati wa Pre season, nk.
Hizi timu mbili za simba na Yanga viongozi wake wana ujinga mwingi sana. Mara nyingi huwekeza kwenye mafanikio ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu!Uko sawa kabisa naungana nawe 100%. Japo sidhani kama tamanio hili na viongozi wetu wanalo.
Kaka, simba na yanga ni miradi ya watu hiyo, ndo maana unaona hazipigi hatua kimaendeleo.Hizi timu mbili za simba na Yanga viongozi wake wana ujinga mwingi sana. Mara nyingi huwekeza kwenye mafanikio ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu!
Ukija kwenye uwekezaji wa viwanja vyao vya michezo, hostel, vyombo vya habari kwa ajili ya kujitangaza, nk unakuta wanapiga piga tu chenga!
Haiwezekani timu ndogo kama Ihefu, Geita Gold, Gwambina, Namungo, Mtibwa Sugar, Ruvu Shooting, nk. Achilia mbali Azam! Zinamiliki viwanja vyao. Lakini Simba na Yanga tangu zianzishwe miaka ya 1930's, mpaka leo hawana viwanja vya kueleweka! Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
Hizi timu zimejaa waganga njaa wengi.Hizi timu mbili za simba na Yanga viongozi wake wana ujinga mwingi sana. Mara nyingi huwekeza kwenye mafanikio ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu!