Bingwa wa Nchi hii Simba Sc ina jambo lake leo mchana wa saa 8

Simba day vipi? Haya karibu Msimbazi Morson
 
Tarehe 8 birthday ya Yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutasherehekea pamoja nasi
 
Mmemsajili Morrison hata kesi haijaisha? Ina maana Simba wanajua maamuzi ya kamati?
Hapo ndio ujue sasa Bongo mpira unachzwaje ,sheria + kamati ni sehemu tu kuhalalisha na kukwamisha jambo

Ila watu wakiamua lao linakua
 
We jamaa...ukubali ukatae huu ni upumbavu Morrison likua haitajiki pale Msimbazi ndani na nje ya uwanja hapa viongozi wamechemka zaidi naona ni kuwakomoa yanga ila ni UPUMBAVU.
Upumbavu gani wamefanya viongozi wanatoa hela na kuimarisha team wewe hutoi hata shilling unapata wap nguvu ya Kuita upumbavu. ndio nyie mkiambiwa changieni hata elfu kumi mnahama team
 
We jamaa...ukubali ukatae huu ni upumbavu Morrison likua haitajiki pale Msimbazi ndani na nje ya uwanja hapa viongozi wamechemka zaidi naona ni kuwakomoa yanga ila ni UPUMBAVU.
Wewe ndio kocha na kiongozi. Wabongo kwa maneno hamjambo
 
We jamaa...ukubali ukatae huu ni upumbavu Morrison likua haitajiki pale Msimbazi ndani na nje ya uwanja hapa viongozi wamechemka zaidi naona ni kuwakomoa yanga ila ni UPUMBAVU.
Kasaii miaka mingapi
 
Morison pale Simba alikua haitajiki sema basi tu, dili limefanywa ili kuwakomoa yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…