G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Tena ni upumbavu wa hali ya juu. Mchezaji mshenzi kama huyo unamletaje Simba? Pumbavu zako Mo Dewji! Pumbavu zako Kiongozi yoyote wa Simba aliyekubali kumleta mpumbavu Morrison Simba!
Ni ulimbukeni tu wa viongozi wa Simba.mi ni Simba damu lkni kusema uongozi umemsajili Morrison naungana nawe kwa hayo matusi, mchezaji gani huyu. anasajiliwa simba kwa kipi, acheze nafasi gani?
Morrison na Shishimbi kama mlikuwa mnawasiliana nao na mkawapa mpaka kishika uchumba, kwanini tusiamn kama ile game mliwahonga wacheze chini ya kiwango!Nani ahonge timu mbovu mmeacha wachezaji kibao kudhiilisha ubovu wa timu yenu
shauri basi kocha afanye nini?maana Ajibu kapewa nafasi nyingi tu za kucheza. Hakuna maajabu,Kakolanya yupo fiti ila kikosi hakiwezi kuwa na kipa wote namba 1. Hawawezi kuchezeshwa kuwafurahisha watu wachacheYote ongeeni ila mimi wachezaji wanao niuma ni Ajibu,Gadiel na Kakolanya.
Wanapata pesa sawa lakini vipaji vina enda kuisha kabisa maana wanacheza dk kadhaa tu.
kibaya zaidi ni nafasi anayocheza,imejaa vipaji. hapo tayari nafasi ya kusajiri pro imepungua. Simba wamekuwa wapuuzi kwa hilimi ni Simba damu lkni kusema uongozi umemsajili Morrison naungana nawe kwa hayo matusi, mchezaji gani huyu. anasajiliwa simba kwa kipi, acheze nafasi gani?
Warudi Yangashauri basi kocha afanye nini?maana Ajibu kapewa nafasi nyingi tu za kucheza. Hakuna maajabu,Kakolanya yupo fiti ila kikosi hakiwezi kuwa na kipa wote namba 1. Hawawezi kuchezeshwa kuwafurahisha watu wachache
deo kanda anarudi mazembe ni mchezaji wa mkopokibaya zaidi ni nafasi anayocheza,imejaa vipaji. hapo tayari nafasi ya kusajiri pro imepungua. Simba wamekuwa wapuuzi kwa hili
Siku zote hamkosi sababu zisizo za kimpira ndio maana kocha wenu alisema mashabiki wa utopolo hawajui kitu uneducated wako kama manyani kazi kubweka sasa hivi kila mtu anaona alikuwa sahihiMorrison na Shishimbi kama mlikuwa mnawasiliana nao na mkawapa mpaka kishika uchumba, kwanini tusiamn kama ile game mliwahonga wacheze chini ya kiwango!
hapa ni nan uneducated, kama umek wepa hoja na kubwabwaja kama kuku aliyekatwa kichwa.Siku zote hamkosi sababu zisizo za kimpira ndio maana kocha wenu alisema mashabiki wa utopolo hawajui kitu uneducated wako kama manyani kazi kubweka sasa hivi kila mtu anaona alikuwa sahihi
Uneducated ni kama wewe manyani fchapa ni nan uneducated, kama umek wepa hoja na kubwabwaja kama kuku aliyekatwa kichwa.
Ndio maana wakaitwa utopolo kiongozi, uwezo wa kufikiria mdogo. Hapo ilbidi wadili na viongozi kwann wanakuwa wajanjawajanja kwenye hiyo timu? Mnaishia kulaumu mtu anayetafuta maisha yake mazuri katika soka.Maneno ya mkosaji hayo!!! Yaani badala ya kuwaona viongozi wenu ndio wendawazimu kwa kuwadanganya mnamuona morison ndio mwendawazimu?!!!