Bingwa wa 'software' anahitajika

Bingwa wa 'software' anahitajika

muonekano mzuri, new improvement, new features. Inakuwa nzito zaidi Ku loading, hii NI kutokana na pc unayo tumia Kama ikiwa na uwezo mdogo
Shukrani mkuu kwa madini ,ila kupata pc nzuri napo kimbembe
 
Kwa kuanzia process mgeni kabisa ungenishauri nichukue CAD ya mwaka gani?
 
Habari wakuu?

Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.​
Why Re-Invent the Wheel ?!!! (Sorry Wheel ipo Why Duplicate it?)

Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-​
  • Iwe ni rahisi kutumia​
  • Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili​
  • Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote​
  • 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji​
  • Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya​
  • Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiaji​
Kwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.

Tupige kazi.​
Zilizopo Moho, Blender, Toon Boom Harmony, Cartoon Animator n.k. hazifanyi hayo ?!!!
 
Back
Top Bottom