Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
Shukrani mkuu kwa madini ,ila kupata pc nzuri napo kimbembemuonekano mzuri, new improvement, new features. Inakuwa nzito zaidi Ku loading, hii NI kutokana na pc unayo tumia Kama ikiwa na uwezo mdogo
Noma MzeeShukrani mkuu kwa madini ,ila kupata pc nzuri napo kimbembe
Chukua new version, ita fanya vizur Tu ,Kwan si Una model na Ku design, buildings peke yake?Kwa kuanzia process mgeni kabisa ungenishauri nichukue CAD ya mwaka gani?
Jaribu ya 2020, itakubaliNmejaribu inagoma mkuu
Why Re-Invent the Wheel ?!!! (Sorry Wheel ipo Why Duplicate it?)Habari wakuu?
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.
Zilizopo Moho, Blender, Toon Boom Harmony, Cartoon Animator n.k. hazifanyi hayo ?!!!
Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-
Iwe ni rahisi kutumia Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiajiKwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.
Tupige kazi.