[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Man united [emoji123][emoji123]
Kuwa serious mkuuMan united [emoji123][emoji123]
Kwenye mpira kujuana kupo bila kumjua vyema mpinzani wako unapataje matokeo? Na ndio maana unakuta Man U champions league anamfua Atalanta na Villareal lakini usishangae akirudi kwenye league kuu anatandikwa na WatfordKwenye mpira hakuna kujuana
Chelsea maji kupwa, maji kujaa bado hawajanishawishi. Ni moja ya timu iliyokuwa kwenye kundi jepesi mno lakini pamoja na kuwa katika kundi jepesi, unaona mechi dhidi ya zenit anavyopata tabu kupata ushindi. Unaona mechi ya marudiano dhidi ya kibonde Malmo mnavyopata ushindi mwembamba. Jana imemfunga Juventus iliyobakia jina tu haina ubora wowote na ndio maana kwenye ligi wanashika nafasi ya nane.Huu ni utabiri ama?
Nakupa hii hebu waangalie Chelsea wanavocheza alafu njoo tena ufanye utabiri wako.
Kwamba Villareal hawamjui Manchester?Kwenye mpira kujuana kupo bila kumjua vyema mpinzani wako unapataje matokeo? Na ndio maana unakuta Man U champions league anamfua Atalanta na Villareal lakini usishangae akirudi kwenye league kuu anatandikwa na Watford
Huyu mtoa post ni takataka kabisaaaCheki hii takataka
Ukiongelea hivo inamaana hao Liverpool na Bayern wana 100% ya ushindi katika ligi zao mpaka sasa?Chelsea maji kupwa, maji kujaa bado hawajanishawishi. Ni moja ya timu iliyokuwa kwenye kundi jepesi mno lakini pamoja na kuwa katika kundi jepesi, unaona mechi dhidi ya zenit anavyopata tabu kupata ushindi. Unaona mechi ya marudiano dhidi ya kibonde Malmo mnavyopata ushindi mwembamba. Jana imemfunga Juventus iliyobakia jina tu haina ubora wowote na ndio maana kwenye ligi wanashika nafasi ya nane.