Kama uliwaangalia Chelsea walivyo kutana na Juve game ya kwanza uefa huwezi kusema uefa anaweza kuchukua,Chelsea Labda Epl ,Uefa hapana.Huu ni utabiri ama?
Nakupa hii hebu waangalie Chelsea wanavocheza alafu njoo tena ufanye utabiri wako.
Umeangalia vibaya siku hiyo tulicheza vizuri Tu tatizo ilikuwa kwenye umaliziajiKama uliwaangalia Chelsea walivyo kutana na Juve game ya kwanza uefa huwezi kusema uefa anaweza kuchukua,Chelsea Labda Epl ,Uefa hapana.
Real Madrid bado mpo ovyoSisi Real Madrid tuna waangalia tu mnavyo pambana finally it's going back home
Inafika hatua hata sisi mashabiki wa Chelsea tunaiogopa timu yetu.
Naamini Kwasasa hakuna timu kubwa inayotaka kucheza na Chelsea.
Hamta amini macho yenuReal Madrid bado mpo ovyo
Juve alikua anaomba mpira uisheKama uliwaangalia Chelsea walivyo kutana na Juve game ya kwanza uefa huwezi kusema uefa anaweza kuchukua,Chelsea Labda Epl ,Uefa hapana.
Yes hakuna mkuu labda Westahm tu 😂😂Inafika hatua hata sisi mashabiki wa Chelsea tunaiogopa timu yetu.
Naamini Kwasasa hakuna timu kubwa inayotaka kucheza na Chelsea.
Ngap?Chelsea pole sana niliwakataa kitambo sana lakini mliishi kwa kukariri. Real Madrid anawabatiza kwa moto huko darajani
Benzema anachinja watu na kisu butu 🤣🤣🤣🤣🤣Ngap?
Daraja linabinuliwa hukoHuu ni utabiri ama?
Nakupa hii hebu waangalie Chelsea wanavocheza alafu njoo tena ufanye utabiri wako.