vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Dah unajisikiaje kiongoziBingwa ni The blues. Chelsea Fc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah unajisikiaje kiongoziBingwa ni The blues. Chelsea Fc
Mbona bado mapema mzee baba kuongoza kwao 3 kwa 1 bado kuna mechi nyingine. Kipenga cha mwisho ndicho kitatupa matokeoDah unajisikiaje kiongozi
Kwamba mtaenda kupindua meza kibabe wapi spain au. Maana naona kama mmepigiwa kwenu vile. Kama matokeo yatabaki hivyo mtakuwa na mlima mrefu sana kuupanda.Mbona bado mapema mzee baba kuongoza kwao 3 kwa 1 bado kuna mechi nyingine. Kipenga cha mwisho ndicho kitatupa matokeo
Kwenye mpira lolote linawezekana ila.naona vikwazo vinaanza kutunyoosha sasaKwamba mtaenda kupindua meza kibabe wapi spain au. Maana naona kama mmepigiwa kwenu vile. Kama matokeo yatabaki hivyo mtakuwa na mlima mrefu sana kuupanda.
Vikwazo vya kiuchumi au vikwazo vya uchezaji?Kwenye mpira lolote linawezekana ila.naona vikwazo vinaanza kutunyoosha sasa
Vya boss wetu. Unadhani timu itakua sawa kama posho nk zitakua hamnaVikwazo vya kiuchumi au vikwazo vya uchezaji?
Mtihani hapoVya boss wetu. Unadhani timu itakua sawa kama posho nk zitakua hamna
NomaMtihani hapo
Aseeeeeee unai emery yupo vizuri sanaBingwa Villarreal
Bayern si katwaa kombe jana baada ya kufungwa na vibonde?Kwa michezo kadhaa niliyofuatilia msimu huu, naona bingwa wa msimu huu atakuwa kati ya Bayern Munich au Liverpool.
Kwa upande wa Liverpool itategemea endapo hatakutanishwa na waingereza wenzie maana anaweza kumsumbua kwavile wanajuana.
😀😀😀My bet for CHELSEA halafu tuache fact iwe fact hatakama inauma kuikubali iachwe ibaki kuwa fact
Mkuu huo ni utabiri wangu ambao nilitabiri mwaka jana mwezi wa 11 angalia post ni ya lini hiyo. Ni kweli jana Bayern ameyaaga mashindano hivyo kwenye utabiri wangu kabakia Liverpool ambayo mpaka sasa ana advantage ya kwenda hatua inayofuata.Bayern si katwaa kombe jana baada ya kufungwa na vibonde?
😂😂Acha dharau mkuu, jamaa katoa bonge la fact halafu wewe unamcheka
Mkuu nilikuwa nakuudhi tu makusudi. Nilitaka ukasirike na kugeuka mwarab ama msomali ili ujilipue mabomu mwilini kwa sababu ya kukosolewa. Bahati nzuri unajitambua akili. Ubarikiwe🙏Mkuu huo ni utabiri wangu ambao nilitabiri mwaka jana mwezi wa 11 angalia post ni ya lini hiyo. Ni kweli jana Bayern ameyaaga mashindano hivyo kwenye utabiri wangu kabakia Liverpool ambayo mpaka sasa ana advantage ya kwenda hatua inayofuata.