Bingwa wa UEFA msimu huu anaweza kuwa Liverpool au Bayern Munchen

Mbona bado mapema mzee baba kuongoza kwao 3 kwa 1 bado kuna mechi nyingine. Kipenga cha mwisho ndicho kitatupa matokeo
Kwamba mtaenda kupindua meza kibabe wapi spain au. Maana naona kama mmepigiwa kwenu vile. Kama matokeo yatabaki hivyo mtakuwa na mlima mrefu sana kuupanda.
 
Kwenye mpira lolote linawezekana ila.naona vikwazo vinaanza kutunyoosha sasa
 
Kwa michezo kadhaa niliyofuatilia msimu huu, naona bingwa wa msimu huu atakuwa kati ya Bayern Munich au Liverpool.

Kwa upande wa Liverpool itategemea endapo hatakutanishwa na waingereza wenzie maana anaweza kumsumbua kwavile wanajuana.
Bayern si katwaa kombe jana baada ya kufungwa na vibonde?
 
Mkuu huo ni utabiri wangu ambao nilitabiri mwaka jana mwezi wa 11 angalia post ni ya lini hiyo. Ni kweli jana Bayern ameyaaga mashindano hivyo kwenye utabiri wangu kabakia Liverpool ambayo mpaka sasa ana advantage ya kwenda hatua inayofuata.
 
Mkuu nilikuwa nakuudhi tu makusudi. Nilitaka ukasirike na kugeuka mwarab ama msomali ili ujilipue mabomu mwilini kwa sababu ya kukosolewa. Bahati nzuri unajitambua akili. Ubarikiwe🙏
 
Back
Top Bottom