Bingwa wa US OPEN 2018, Naomi Osaka kumbe naye ni black, now I am happy for her that she's the champ!

Tennis haina kuzingua,,,ukiona umeonewa inarudiwa reply kwenye computer , Serena kashindwa kihalahi...mimi mwenyewe nimepoteza pesa nyingi baada ya bet yangu kwa Serena kuwa LOST!.. lol
Serena alichokuwa analalamika ni kunyamg'anywa point sababu ya emotions zake yaani kuji-express. Alikosa baadhi ya points akawa anapiga racket yake chini kwa hasira. Refa akamnyang'anya point. Ila wanaume nao huwa wanavunja hadi racket kwa emotions ila hawanyang'anywagi point. Hivyo Serena alikuwa mkali kwa nini double standard.
 
Umri umewatupa mkono hawa kina williams ni waqt wa damu changa na hitimisho la umalikia wao.
Serena atapambana hata kama akifika 40 ila anajua anatafuta rekodi ya all time. Kabakisha grand slam 1 afikie rekodi na akiongeza moja anaipita. Nina uhakika ndio tageti yake hapa baada ya kufanikisha hili atastaafu.
 
Ni vizuri kama umejitambua kua wewe ni mbaguzi,bila shaka siku utakayobaguliwa coz ya skin colour hutoumia coz hata wewe ni mbaguzi pia!
 
No Serena alinyang'anywa pointi sababu alikuwa anapewa maelekezo na kocha wake kisiri kutoka upande mmoja wa jukwaa..... Hiyo ndio sababu kubwa nae kwa hasira akapiga racket chini....Hakuna cha double standard wala nini Serena hakutegemea kupata upinzani mkali kutoka kwa Naomi,,
 
Ila mwisho wa siku Osaka alistahili, na ni bahati mbaya ishu ya refa ndio imetawala zaidi kuliko ushindi wake. Serena was given a run for her money!
 
Uko sahihi kabisa mkuu,racism inapigwa vita sana hasa kwenye michezo ila naona mleta mada yeye kaweka gia ya rivasi.
Acheni ushamba, kuna mahali nimemponda mtu wa race nyingine kwa njia yoyote? Au kusema nampenda Osaka sababi ya ublack wake ndio ubaguzi kwenu?
 
Ni vizuri kama umejitambua kua wewe ni mbaguzi,bila shaka siku utakayobaguliwa coz ya skin colour hutoumia coz hata wewe ni mbaguzi pia!
Kuna mtu wa race gani hapo nimembagua? Nyie watu mmekula maharage ya wapi?
 
Ila mwisho wa siku Osaka alistahili, na ni bahati mbaya ishu ya refa ndio imetawala zaidi kuliko ushindi wake. Serena was given a run for her money!
Yap Osaka alistahili, alicheza vizuri na alimmudu Serena....Bado Serena yuko vizuri kumbuka ndio ametoka kujifungua juzi tu so hakuwa na mazoezi ya kutosha hata kufika fainali ni mafanikio makubwa kwakke....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…