squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
- Thread starter
- #21
Kabisa.Tuachane na upande wa kwanza wa Tennis upande wa pili huyu Naomi ni mzuri mno aiseh.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa.Tuachane na upande wa kwanza wa Tennis upande wa pili huyu Naomi ni mzuri mno aiseh.....
Serena alichokuwa analalamika ni kunyamg'anywa point sababu ya emotions zake yaani kuji-express. Alikosa baadhi ya points akawa anapiga racket yake chini kwa hasira. Refa akamnyang'anya point. Ila wanaume nao huwa wanavunja hadi racket kwa emotions ila hawanyang'anywagi point. Hivyo Serena alikuwa mkali kwa nini double standard.Tennis haina kuzingua,,,ukiona umeonewa inarudiwa reply kwenye computer , Serena kashindwa kihalahi...mimi mwenyewe nimepoteza pesa nyingi baada ya bet yangu kwa Serena kuwa LOST!.. lol
Unatafuta nini kwenye huu uzi? Mashabiki wa EPL inawasaidia nini?Inakusaidia nini wewe mfipa ulioko huko Nkasi, mkoa wa rukwa.
Serena atapambana hata kama akifika 40 ila anajua anatafuta rekodi ya all time. Kabakisha grand slam 1 afikie rekodi na akiongeza moja anaipita. Nina uhakika ndio tageti yake hapa baada ya kufanikisha hili atastaafu.Umri umewatupa mkono hawa kina williams ni waqt wa damu changa na hitimisho la umalikia wao.
Tuachane na upande wa kwanza wa Tennis upande wa pili huyu Naomi ni mzuri mno aiseh.....
Poa tu.Hakuna aibu kubwa kuwa kuwa na tabia za kibaguzi,ulichoandika hapa ni ubaguzi!.....Shame on you!
No Serena alinyang'anywa pointi sababu alikuwa anapewa maelekezo na kocha wake kisiri kutoka upande mmoja wa jukwaa..... Hiyo ndio sababu kubwa nae kwa hasira akapiga racket chini....Hakuna cha double standard wala nini Serena hakutegemea kupata upinzani mkali kutoka kwa Naomi,,Serena alichokuwa analalamika ni kunyamg'anywa point sababu ya emotions zake yaani kuji-express. Alikosa baadhi ya points akawa anapiga racket yake chini kwa hasira. Refa akamnyang'anya point. Ila wanaume nao huwa wanavunja hadi racket kwa emotions ila hawanyang'anywagi point. Hivyo Serena alikuwa mkali kwa nini double standard.
Uko sahihi kabisa mkuu,racism inapigwa vita sana hasa kwenye michezo ila naona mleta mada yeye kaweka gia ya rivasi.Hakuna aibu kubwa kama kuwa na tabia za kibaguzi karne ya 21,ulichoandika hapa ni ubaguzi tuuuu!.....Shame on you!
Ila mwisho wa siku Osaka alistahili, na ni bahati mbaya ishu ya refa ndio imetawala zaidi kuliko ushindi wake. Serena was given a run for her money!No Serena alinyang'anywa pointi sababu alikuwa anapewa maelekezo na kocha wake kisiri kutoka upande mmoja wa jukwaa..... Hiyo ndio sababu kubwa nae kwa hasira akapiga racket chini....Hakuna cha double standard wala nini Serena hakutegemea kupata upinzani mkali kutoka kwa Naomi,,
Acheni ushamba, kuna mahali nimemponda mtu wa race nyingine kwa njia yoyote? Au kusema nampenda Osaka sababi ya ublack wake ndio ubaguzi kwenu?Uko sahihi kabisa mkuu,racism inapigwa vita sana hasa kwenye michezo ila naona mleta mada yeye kaweka gia ya rivasi.
Naona umejiuliza swali kisha ukajijibu,good.Acheni ushamba, kuna mahali nimemponda mtu wa race nyingine kwa njia yoyote? Au kusema nampenda Osaka sababi ya ublack wake ndio ubaguzi kwenu?
Kuna mtu wa race gani hapo nimembagua? Nyie watu mmekula maharage ya wapi?Ni vizuri kama umejitambua kua wewe ni mbaguzi,bila shaka siku utakayobaguliwa coz ya skin colour hutoumia coz hata wewe ni mbaguzi pia!
Hopeless!Naona umejiuliza swali kisha ukajijibu,good.
Yap Osaka alistahili, alicheza vizuri na alimmudu Serena....Bado Serena yuko vizuri kumbuka ndio ametoka kujifungua juzi tu so hakuwa na mazoezi ya kutosha hata kufika fainali ni mafanikio makubwa kwakke....Ila mwisho wa siku Osaka alistahili, na ni bahati mbaya ishu ya refa ndio imetawala zaidi kuliko ushindi wake. Serena was given a run for her money!
Hopeless!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inakusaidia nini wewe mfipa ulioko huko Nkasi, mkoa wa rukwa.
Povu eeeh!