INAUZWA Binocular for sale

Hili la kuona km62 kwa binocular ni uongo zaidi ya kiwango cha SGR. Upate nini ukidanganya watu, upate soko ili uiuze?
Ungesema baadhi ya telescope maalumu ningekuelewa.
 
shukran sn mkuu kwa hili...
 
Mimi pia ninayo binocular, ila kuna mtu alinitisha kwamba eti ni kinyume cha sheria kuwa nayo. Je kuna ukweli?

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…