INAUZWA Binocular for sale

INAUZWA Binocular for sale

Mkuu kama unaendesha gar...sehem ambayo unaweza safir kwa masaa 2 mpaka 5 unauwezo wakuona vyema sana sehem hiyo kama umesimama mahal pajuu..hivyo kama ni straight..tuseme umesimama kwenye ghorofa...na pengine unataka uwamulike trafik wa torch km 62 mbele basi you can see them...
Hili la kuona km62 kwa binocular ni uongo zaidi ya kiwango cha SGR. Upate nini ukidanganya watu, upate soko ili uiuze?
Ungesema baadhi ya telescope maalumu ningekuelewa.
 
Mkuu kama unaendesha gar...sehem ambayo unaweza safir kwa masaa 2 mpaka 5 unauwezo wakuona vyema sana sehem hiyo kama umesimama mahal pajuu..hivyo kama ni straight..tuseme umesimama kwenye ghorofa...na pengine unataka uwamulike trafik wa torch km 62 mbele basi you can see them...
shukran sn mkuu kwa hili...
 
Mimi pia ninayo binocular, ila kuna mtu alinitisha kwamba eti ni kinyume cha sheria kuwa nayo. Je kuna ukweli?

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom