Bint yangu anaugonjwa wa ajabu

Jaribu kuangalia incidence inayotokea prior ya kuanguka. Nilikuwa na binti same age alikuwa na biashara hiyo, hadi muhi2 tulifika. Ilikuwa akigombezwa na mjomba wake au akifanya kitu ambacho anahisi atagombezwa anaanza sarakasi zake up tp 10hrs kupoteza fahamu. Baada ya uncle kutambua na kuacha, the story is. Past tense.
 
Aisee kuna watu wanapata majaribu ya kidunia humu sijapata ona
Ngoja wikiend niende bagamoyo kumwangalia mwanangu maana mnenitisha
 
Anasoma day au boarding? Single sex au mixed?
Inawezekana kabisa akawa na hysteria kutokana na maelezo uliyoyatoa bt not all hysteria are sexual hysteria.
Km baadhi walivyosuggest nenda kaonane na daktari bingwa wa magonjwa ya akili. Km yuko ktk hali mbaya sana anaweza kumpa medical treatment km anxiolytic au antidepressant akacalm down then ikafuatia pychotherapy bt in most cases psychotherapy tu pekee inatosha kumtibia na kurudi ktk hali yake ya kawaida.
 
Mnunulie SEX TOY.

Zamani hiyo ndio ilikuwa tiba...ilishawahi mpaka maDaktari kuwa wanawamasturbate wagonjwa wa tatizo hilo mpaka wana'cum' (soma historia ya sexual hystria Wikipedia). But baada ya extensive research, hizo njia zimeonekana kukata kiu kwa muda then linalipuka tena...na pia njia hizo zilipelekea waginjwa kuwa 'sex addicts'! Counselling ndio treatment safe..
 
thanks, nitalifanyia kazi hili pia
 
Maombi+psychological help vinaweza saidia.
 
Mpeleke shule za wasichana na wavulana atapona tu
 

Ulaya? Mwenzio kasema ye fukara.
 
Mh huu ugonjwa unawapata sana wanafunzi wanaosoma shule za bweni na za wasichana watupu.
Sasa sijui chanzo kinakuwa nini na dawa yake ninini?

Abuni hata happy birthdaei part alafu aweke mziki ampange mvulana wa rika yake ili ambambie uone kama utarudia tena.Niliona Arusha hii kitu.
 
Hivi tukiacha masihara na utani, mzazi unaweza kweli kumkabidhi binti yako kwa Bujibuji eti anatibiwa na wewe ukae nje unasubiria?

Mola aepushie mbali, matibabu haya yasimkute binti yangu ikanilazimu nijue kuwa saa hii anatibiwa
Mpende mwanao, mlete kwa papaa, pedeshee, mchungaji, askofu na kuhani mkuu Bujibuji kwa ajili ya kupata tiba, kinga na zindiko la afya ya mwili, roho na akili. Bujibuji is good to you
 
Last edited by a moderator:
Maelezo yako yanaonesha kama unajua unajua hivi, ila unazungusha mada....mwaga radhi NATA
Hata mie nimeshtukia wachangia mada wengi hapo juu inaonyesha wanajua dawa ila sasa wanaona kumwambia muhusika inakuwa ngumu kidogo maana alienzisha mada ndio mzazi wa mtoto,jamani mwambieni tu maana mtoto wa mwenzenu anateseka msizungushezungushe maneno.
 
Ha ha ha, ila wanapona

Afu wote wanaipenda hii dawa, atakuwa anaumwa kila wiki:lol:
hivi hii ni tiba mbadala , tiba ya jadi au ni tiba hospitali?
Hebu ni PM fasta ili niji tune kwenye hiyo tiba niwe najivinjari na vi spring chicken
 
wavulana hawafai utani mbele ya mbunyeny
 
Aisee kuna watu wanapata majaribu ya kidunia humu sijapata ona
Ngoja wikiend niende bagamoyo kumwangalia mwanangu maana mnenitisha

Mkuu kama ni kwenye ile shule ya pale msalabani basi tutakutana, na mimi naona niende kumwona binti yangu bana!!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…