Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseee shindwaMnunulie SEX TOY.
Mnunulie SEX TOY.
thanks, nitalifanyia kazi hili piaJaribu kuangalia incidence inayotokea prior ya kuanguka. Nilikuwa na binti same age alikuwa na biashara hiyo, hadi muhi2 tulifika. Ilikuwa akigombezwa na mjomba wake au akifanya kitu ambacho anahisi atagombezwa anaanza sarakasi zake up tp 10hrs kupoteza fahamu. Baada ya uncle kutambua na kuacha, the story is. Past tense.
Pole sana, kuna baadhi ya watoto huwa wakichukia shule fulani wana hako kajitabia, mchunguze , jaribu kusema neno la kufurahisha kama kusafiri hivi kwenda mbugani au ulaya na jidai kusema kama utamchukuwa wakati amezimia, kama akiamka ataulizia jambo hilo basi ujue anajifanyisha other wise huwa inatokea ! kuna binti mmoja alikuwa na tabia hiyo namjua kabisa, ila wazazi walikuja kugundua baadae kuwa alikuwa haipendi shule na hivo wakamhamisha ila sasa huko alipoenda napo akaanza kugombana na wenzake akaanza tena kamchezo kake cha kuanguka shule wakamstukia naona ameacha sasa! mchunguze !
Mh huu ugonjwa unawapata sana wanafunzi wanaosoma shule za bweni na za wasichana watupu.
Sasa sijui chanzo kinakuwa nini na dawa yake ninini?
Mpende mwanao, mlete kwa papaa, pedeshee, mchungaji, askofu na kuhani mkuu Bujibuji kwa ajili ya kupata tiba, kinga na zindiko la afya ya mwili, roho na akili. Bujibuji is good to youHivi tukiacha masihara na utani, mzazi unaweza kweli kumkabidhi binti yako kwa Bujibuji eti anatibiwa na wewe ukae nje unasubiria?
Mola aepushie mbali, matibabu haya yasimkute binti yangu ikanilazimu nijue kuwa saa hii anatibiwa
Nimecheka sana, binti kazaliwa mwezi wa tatu wewe unataka tumfanyie birthday mwezi wa kumi.....Abuni hata happy birthdaei part alafu aweke mziki ampange mvulana wa rika yake ili ambambie uone kama utarudia tena.Niliona Arusha hii kitu.
Hata mie nimeshtukia wachangia mada wengi hapo juu inaonyesha wanajua dawa ila sasa wanaona kumwambia muhusika inakuwa ngumu kidogo maana alienzisha mada ndio mzazi wa mtoto,jamani mwambieni tu maana mtoto wa mwenzenu anateseka msizungushezungushe maneno.Maelezo yako yanaonesha kama unajua unajua hivi, ila unazungusha mada....mwaga radhi NATA
kukaa vijiwenikwahiyo baada ya kumtoa SHULE amepona! au tiba ilikuwa nini
hivi hii ni tiba mbadala , tiba ya jadi au ni tiba hospitali?Ha ha ha, ila wanapona
Afu wote wanaipenda hii dawa, atakuwa anaumwa kila wiki:lol:
Kweli hiyo Hysteria.
Inaonekana hajapigwa pipe siku nyingi na anahamu kubwa sana.
Wataalamu wanashauri apate
psychosocial support ikiwezekana wavulana watokee kumtongoza kwa kuzugia(Fake) na wamuahidi kiuongouongo kama watamkamua, unaweza akatulia vizuri kabisa.
Aisee kuna watu wanapata majaribu ya kidunia humu sijapata ona
Ngoja wikiend niende bagamoyo kumwangalia mwanangu maana mnenitisha
Hysteria au double personality, halafu mabinti huwa wanaupata kwa kujiendekeza zaidi, wanaambukizana. Hii niliipata kwa daktari wa saikolojia fulani hivi.
Washauri wa saikolojia wanaweza msaidia zaidi.
Uswahilini huwa tunaamini binti anahitaji kampani ya jinsia ya kiume, hatuna prufu
Ila ukiumwa chekelea wanakukabidhi kijana anamshughulikia basi mtu anapona.[/QUOTE]
Kwa maana hiyo baada ya kama mwezi AKICHEKACHEKA tena KIDUME kinaitwa kurekebisha tena?? Hapo si umefungulia NGONO CHEKACHEKA jamani??