Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,877
- 5,022
Bint wa miaka 24 yupo Moshi anatafuta kazi yeyote halali
Ahsante Kwa msaada wako
- Elimu yake Kidato cha Nne
- Certificate ya tourism
- Mchapakaz na mchangamfu
- Anaweza kufanya Kazi yeyote ambayo haidhalilishi utu wake
Ahsante Kwa msaada wako