NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
Sasa hiyo inakhusu nini jamani? mdada kasema Mbu..lolUmetairiwa?!
Sasa hiyo inakhusu nini jamani? mdada kasema Mbu..lol
hahahahaha nimeona la mtoto mchanga la mtu mzima No lol so inawezekana ndio kilicho mkimbiza? ahahahahhahaUmewahi kukutana na govi ww?!...mbu ni kisingizio tu
hahahahaha nimeona la mtoto mchanga la mtu mzima No lol so inawezekana ndio kilicho mkimbiza? ahahahahhaha
Mamba indeed!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji818] [emoji818] [emoji818]Mbu kisingizio tuu bali hakupata alichotarajia. Ungempa kisawasawa aliyoyafata hata angeng'atwa na mamba asingeshtuka. Hehehehe
Zama za mawe zinarudi,yaani tunapiga reavers!![emoji23][emoji23][emoji23] Tuvumilie mkuu domocrezia ya habari hiyo.na wewe ni great thinker?
nahisi waTanzania wengi bado tuko kwenye transition period.
Noma sana mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu atakuwa anatoka kwa Mkwawa
BINDI...
Bindi...jamaaa atakuwa Mbena au Mpangwa huyu
Bindi ndiyo nini?
Bindi
Kuna kosa lingine pia la uandishi katika title yake, inanishangaza nyie wote mmeona moja tu. Au ndo kufata upepo!![emoji124]What a 'bindi [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Lipo mkuu si hilo "akakataa" sema hilo la bindi jamaa ndio ameua kabisaKuna kosa lingine pia la uandishi katika title yake, inanishangaza nyie wote mmeona moja tu. Au ndo kufata upepo!![emoji124]
Mkuu mbona huwa una thread constructive. .Hope umepitiwame naishi uswazi,nimepanga geto yenye chumba kimoja tu.sasa kuna binti niliwah kulala nae hapa kwangu akang'atwa balaa na mbu.so tangu siku hiyo nikimuambia aje tena geto anasema anaogopa mbu wa hapa kwangu.nimemuambia siku Ile nilijisahau tu kupiga dawa Lakin haelewi somo.
ifanyaje?
Hahahaaaa duhtoa utumbo wako hapa,pia ficha ujinga wako
kwanini haujafunga neti?wahi kaombe neti za msaada