Na wewe rekebisha anaweza asikuelewe...title.Rekebisha tittle mkuu
zipo ila sio sehemu zoteNet za msaada utawala wa Magu zipo kweli?
Kuna kosa lingine pia la uandishi katika title yake, inanishangaza nyie wote mmeona moja tu. Au ndo kufata upepo!![emoji124]
Una haki ya kuchekesha but not to that extent mkuu!!We tahira kwelikweli ina maana we hukupata net za msaada kutoka usaid.mi binafsi niko single nilipata mbili moja nalalia mimi nyingine nmemfungia paka wangu asingatwe na umbu.
We mi mtani wako usichukieUna haki ya kuchekesha but not to that extent mkuu!!