Binti akiri kutembea na wanaume 5,000

Binti akiri kutembea na wanaume 5,000

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Toa maoni yako........... 123.jpg
 
lori ikiingia haina breki, kumeharibika
 
Sipati picha, kama pango vile

ha ha ha ha! Madam..kuna binti wa waziri fulani hivi anamiliki bendi ya muziki nilimuuliza ana wanaume wangapi akanambia mbaka muda huo alikua nao 62 na alinihesabia..

huyo waziri ni Prof kutoka kanda ya ziwa simsikii sikuhizi na bendi yake imefulia..umenchekesha
 
Mungu amrehemu nayeye anatarajia kulea watoto baadae?
 
Haiwezekani kabisa anatafuta umaarufu tu!!
 
Inabidi muamini jamani kuna wanawake wanaachia vibaya,inafikia mahali hawezi kupata usingizi mpaka mkononi awe ameshikilia ze-dudu au angalau umuwekee puani tu asikie harufu yake.
 
Miaka 26 x 365 = siku 9,490
Amefanya mapenzi na wanaume 5,000. Kwa wastani toka siku ya kwanza azaliwe kila baada ya siku 1.9 amefanya mapenzi na mwanaume 1(kama sijakosea)
Huyu kiboko...
 
Maoni gani sasa unayohitaji? Kama ni kahaba na kwa siku anapata mteja 1 hadi 3 maana yake ni kias cha mwaka tu keshakamilisha hiyo idadi!
 
Back
Top Bottom