Unashangaa kuosha magari ndugu?? mbona hiyo kazi nzuri kabisa, hiyo ya mujini!! watu walifanya u -house Boy ili wasome!......walikuwa vibarua wakulima wa mashamba ili wapate Nauri tu!
walisoma shule kaptura zao zimechanika matakoni nje kabisaa km hayawani! na kuchekwa juu! kuzomewaa na wenzao walivyokuwa nusu uchi! (JOSE) hawana sabuni ya kuogea,
hata ya kufulia nguo zao tu!..hata hawakujua maana ya kusoma, walienda tu ili kukwepa kazi nyingi back home!..wakila mlo safi na mtamuuu sana ni dagaa wa kuchemsha watakula hao!! heee!!
...ngozi ilikakamaa ajili ya kujikuna chawa, wanalala pachafuuuu! Utitiri ni usiombe wanalala na kuku! maisha ya Mbwa ana afadhali!.....lkn leo ukiwaona ni utashangaa Madaktari, wafanya biashara, matajiri!
sometimes unawaza mtoto wa maskini ana afadhali kubwa kuliko hawa wtoto wa hivi!