Binti aliyeonesha dalili za kunipenda kaniruka futi mia baada ya kumtongoza

Hahaha, umejichanganya wapi? Ulitakiwa nukusanye taarifa za kutosha kuthibitisha kuwa anakupenda kweli.
 
Signal zilijichanganya😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
unatakiwa ukasome vizuri sheria za barabarani, pengine binti wawatu aliwasha red light wewe ukafikiri green light.
 
Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭

Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
😅😅
 
Hivi nyie wavulana wa JF mtaacha lini nyuzi zenu za kulialia na kusimp

Grow up acheni tabia za kimama

Mbona wanawake wengi tunawatomba na kuwaacha hatuoni nyuzi zao za kulalamika?

Dunia haijawahi kuwa lelemama kwa mwanaume

Jifunzeni kukaza mtakuja kupakatwa
 
A
Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭

Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
AF ataendelea kukuonesha dalili kama kawa na akikuona na manzi ataskia wivu hawa ndo wanawake
 
Hivi Viumbe kuvielewa ni kazi sana, Mimi yamenikuta sana tu hayo, yaani unakuta amejaa na kila dalili ya kuonesha kuwa anakupenda tena kimapenzi, unaona hakuna sababu ya kumkalia kimya na kuamua kumfungukia, matokeo yake anakutolea mbavuni..
 
Ushauri wako ni nini sijaupata bado.
 
Ushauri wako ni nini sijaupata bado.
Mwanamke wa namna hiyo ni kuachana naye tu, kuna mwingine alikuja kujaa mwenyewe baadae, alianza kunisumbua sana nikawa sioneshi ushirikiano naye nikijua yatakuwa yaleyale, mwisho wa siku tukawa Wapenzi.
 
Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭

Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
Wewe nani kakuambia umtongoze? Hapo ndio ulipoharibu kila kitu. Huyo ulitakiwa uchukue namba, uombe outing, ujenge mazoea kidogo then ule mzigo hakuna haja ya maneno mengi kwa demu alieonesha kukuelewa!
 
Back
Top Bottom