Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Mkuu itakuwa hujui kutongoza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tengeneza mazingira ya kula tunda kimasihala. Ukimtongoza atakusumbua tena zaidi ya usumbufu wa demu ambae hakukuonyesha dalili kabisa.Hivi Viumbe kuvielewa ni kazi sana, Mimi yamenikuta sana tu hayo, yaani unakuta amejaa na kila dalili ya kuonesha kuwa anakupenda tena kimapenzi, unaona hakuna sababu ya kumkalia kimya na kuamua kumfungukia, matokeo yake anakutolea mbavuni..
Ulijuaje ana dalili za kukupenda?Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭
Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
Dawg! 💀Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭
Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
Uko sahihi kbsa ,Yani hata wakijamba wanakuja kuandika nyuziHivi nyie wavulana wa JF mtaacha lini nyuzi zenu za kulialia na kusimp
Grow up acheni tabia za kimama
Mbona wanawake wengi tunawatomba na kuwaacha hatuoni nyuzi zao za kulalamika?
Dunia haijawahi kuwa lelemama kwa mwanaume
Jifunzeni kukaza mtakuja kupakatwa