Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
😂😂😂😂😂😂😂😂MKUHUUU UNAWEJA GUDA GICHUBA GIMEDAA MAWAJO YAGAGUPELEGA GUWA ANAKUDAGA KUBE ZIO
🤣🤣Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭
Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
Sasa umetongoza mala moja ndo unalialia,mtongoze 7×70🐸👈.Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭
Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
😅😅Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭
Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
AF ataendelea kukuonesha dalili kama kawa na akikuona na manzi ataskia wivu hawa ndo wanawakeNi hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭
Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
NakaziaHivi nyie wavulana wa JF mtaacha lini nyuzi zenu za kulialia na kusimp
Grow up acheni tabia za kimama
Mbona wanawake wengi tunawatomba na kuwaacha hatuoni nyuzi zao za kulalamika
Dunia haijawahi kuwa lelemama kwa mwanaume
Jifunzeni kukaza mtakuja kupakatwa
Ushauri wako ni nini sijaupata bado.Hivi Viumbe kuvielewa ni kazi sana, Mimi yamenikuta sana tu hayo, yaani unakuta amejaa na kila dalili ya kuonesha kuwa anakupenda tena kimapenzi, unaona hakuna sababu ya kumkalia kimya na kuamua kumfungukia, matokeo yake anakutolea mbavuni..
Mwanamke wa namna hiyo ni kuachana naye tu, kuna mwingine alikuja kujaa mwenyewe baadae, alianza kunisumbua sana nikawa sioneshi ushirikiano naye nikijua yatakuwa yaleyale, mwisho wa siku tukawa Wapenzi.Ushauri wako ni nini sijaupata bado.
Wewe nani kakuambia umtongoze? Hapo ndio ulipoharibu kila kitu. Huyo ulitakiwa uchukue namba, uombe outing, ujenge mazoea kidogo then ule mzigo hakuna haja ya maneno mengi kwa demu alieonesha kukuelewa!Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭
Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
Kumbe mtu anakucheka sura lakoMkichekewa tu mnadhani mnapendwa😃😃😃