Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Ni video ya dk kadhaa binti akihojiwa na kuelezea mkasa mzima wa maradhi yaliyomkumba mpaka kufikia hatua ya kutelekezwa hodpitali na familia yake nzima bila uangalizi.
Inahuzunisha na kusikitisha sana.
Somo la siku zote: Wengi tunaocheka nao na kufurahi nao tukiwa wazima wa afya, au wazima kimafanikio/kipato asilimia kubwa watakupa kisogo katika nyakati ngumu.
Tazama video hii. Ni Rwanda bila shaka.
Credit: Afrimax Swahili