Binti aliyetolewa mahari katoroka na mwanaume mwingine

unafikiri kwanini shetani aliamua kudili na binadamu..? Adam alikuwa na mwanamke anaitwa Lilith,shetani akamshawishi lilith na akamuacha adam ndo adam akaletewa eva!. sasa shetani nae akatendwa na Lilith alipigwa na kitu kizito na ndio maana shetani akanuna akamuonea adam donge maana mapenzi yake na eva yalikuwa motomoto!.
shetani akaamua akawavuruge kama yeye alivyovurugwa na lilith! kiufupi shetani aliamua iwe ubaya ubwela!.
 
Hivi mwanamke ni kiumbe wa namna gani? Kumbe wanashawishika kirahisi.

Kuna binti Wa miaka 23 katolewa mahari na amesha tangaza na uchumba kabisa ila chakushangaza katoroka na mwanaume mwingine na haijulikani wako maeneo gani kwa sasa.
Kama jamaa alilazimisha kwa namna yoyote ile hayo ni matokeo. Ila kama binti alikubali halaf akasepa, adai mahari yake, and asijiigize kwenye mahusiano yoyote mpaka atakapo heal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…