Binti aliyetolewa mahari katoroka na mwanaume mwingine

Binti aliyetolewa mahari katoroka na mwanaume mwingine

Hivi mwanamke ni kiumbe wa namna gani? Kumbe wanashawishika kirahisi.

Kuna binti Wa miaka 23 katolewa mahari na amesha tangaza na uchumba kabisa ila chakushangaza katoroka na mwanaume mwingine na haijulikani wako maeneo gani kwa sasa.
Kuna shemeji yangu alitorishwa one day before afunge ndoa.
Iliumiza wazazi na bwana harudi mnoo.
Kibaya zaidi alitoroshwa na na fundi mwashi akamwacha mwamba mtanashati, anajielewa na muongoza watalii maarufu.

Jamaa alikonda kama ana ngoms.
Baadae akapa kifaa bora kabisa.. lkn yule binti aliyetoroshwa life ni bovu na anapigwa kila mara na mumewe hadi anang'olewa nywele.

Mwanamke muogope sana na wala usijisifu kuwa una kifaa anaweza kukugeuka muda sosote...kaeni nao kwa machale
 
Nyani wewe...hujafikia civilization
Kama civilization ndio kuonja onja hela za wanaume basi iyo civilization endeleeni kuishi nayo na wanaume wa pwani, sisi wanaume wa kanda maalumu mkituletea iyo civilization yenu mtapata tabu sana.
 
Kama civilization ndio kuonja onja hela za wanaume basi iyo civilization endeleeni kuishi nayo na wanaume wa pwani, sisi wanaume wa kanda maalumu mkituletea iyo civilization yenu mtapata tabu sana.
Civilization Huna wewe ..ni nyani, vyote unavyopost humu inaonyesha wewe ni nyani...hujafikia Civilization
 
Hivi mwanamke ni kiumbe wa namna gani? Kumbe wanashawishika kirahisi.

Kuna binti Wa miaka 23 katolewa mahari na amesha tangaza na uchumba kabisa ila chakushangaza katoroka na mwanaume mwingine na haijulikani wako maeneo gani kwa sasa.
mdogo wake babu alitoroshwa siku ya harusi. huku tarime siku ya harusi, yaani ile bi harusi amepokelewa tunakeshaga hadi asubuhi
sasa usiku huo huyo mdogo wake babu alitoroshwa. akina babu na ndugu wa ukoo wakajua aliko toroshewa. WALIVAMIA HIYO FAMILIA .piga sana boma zima wakamrudisha kwa mumewe
 
Back
Top Bottom