Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mifupa yenyewe mbwa wanawahiMwenye kisu butu ataishia kula mifupa
Kila siku unanihasa nitafute D mbili huwezi amini nimetoka kapa tena😭Hivi mh Hayati ni alikwambia wewe ile kauli vijana wa namna hii kwenye Taifa...... 😂😂😂😂😂
Kupumzika ni kufamin -me njoo unieleweshe! Nipumzikaje yaani
Watoto hatulali na pesa mangiKupumzika ni kufa
Twalala na nyonyoWatoto hatulali na pesa mangi
Mno yani🤣Twalala na nyonyo
Hebu niliwahiMno yani🤣
😂😂 Nilisahau mangi .. NIsamehe Mimi.Kila siku unanihasa nitafute D mbili huwezi amini nimetoka kapa tena😭
Kuna shemeji yangu alitorishwa one day before afunge ndoa.Hivi mwanamke ni kiumbe wa namna gani? Kumbe wanashawishika kirahisi.
Kuna binti Wa miaka 23 katolewa mahari na amesha tangaza na uchumba kabisa ila chakushangaza katoroka na mwanaume mwingine na haijulikani wako maeneo gani kwa sasa.
Wewe tena😊 kabla hata ya kosa ulishasamehewa😂😂 Nilisahau mangi .. NIsamehe Mimi.
Mbwa mkali. 🦊Wewe tena😊 kabla hata ya kosa ulishasamehewa
Kama civilization ndio kuonja onja hela za wanaume basi iyo civilization endeleeni kuishi nayo na wanaume wa pwani, sisi wanaume wa kanda maalumu mkituletea iyo civilization yenu mtapata tabu sana.Nyani wewe...hujafikia civilization
Civilization Huna wewe ..ni nyani, vyote unavyopost humu inaonyesha wewe ni nyani...hujafikia CivilizationKama civilization ndio kuonja onja hela za wanaume basi iyo civilization endeleeni kuishi nayo na wanaume wa pwani, sisi wanaume wa kanda maalumu mkituletea iyo civilization yenu mtapata tabu sana.
Yeye hawezi jua kwamba kila tukio liko na sababu! Binti asingeweza kumkimbia tu jamaa pasi na sababu,labda binti kaona kwamba asije akamuingiza jamaa kwenye matesoJamaa Mungu kamuepusha kidogo aoe m*laya
Unyang'au tuHalafu kikikodishwa kikosi cha kuwapiga mtungo wanajifanya victims
mdogo wake babu alitoroshwa siku ya harusi. huku tarime siku ya harusi, yaani ile bi harusi amepokelewa tunakeshaga hadi asubuhiHivi mwanamke ni kiumbe wa namna gani? Kumbe wanashawishika kirahisi.
Kuna binti Wa miaka 23 katolewa mahari na amesha tangaza na uchumba kabisa ila chakushangaza katoroka na mwanaume mwingine na haijulikani wako maeneo gani kwa sasa.