Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Leo kabla ya Mechi ya Yanga Kuanza. Kuna mteja alikua anahitaji Bidhaa Fulani
Tulipofikia Makubaliano ya Hiyo Bidhaa nikakubaliana nae kumfikishia anapoishi( deliver).
Sasa Mara Baada ya Kufika, nikakutana na Mteja wangu, Tukaingiza mzigo ndani tukamkabizi mzigo wake.
Akamuita Baby( Mpenzi ) Baby Njoo kidem kinatoka Room kina Kanga tu.
Kuja Sebreni Dada si namjua,
Uko Mtaani ninakoishi Kuna Dogo, ameniamboa kua Kuna binti anaempenda anataka amuoe, ila bint ataki wafanye chochote mpaka watakapo oana.
Dogo anasema alimbembeleza sana mwanamke amekataa anataka mpaka waone ndo ampe penzi.
Okey Kwa kua mi niliambiwa hivyo,nkasikiliza sikuchangia chochote,nikapokea Kadi ya mchango wa Harusi.
Yule Dogo mara nyingi huwa napiga nae story kitaani.
Sasa kwa tukio la Leo Demu aliponiona akainama akashindwa kabisa kuniangalia na ni Demu wa mtaani uko ninakoishii.
Ebana Balaa, Demu akikuambia tusifanye chochote mpaka unioe Kuna mtu anampa mzigo temana nae huyo Demu.